Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Madhara ya kufikiria VITU bila SABABU,....

>> Monday, February 15, 2010

.....  unaweza KUJIKUTA unastukia mpaka yasiyo KUHUSU.:-(


Ingawa KUFIKIRI ni bonge la shughuli ambalo mara nyingi wala halihitaji SABABU,...
.... matokeo yake  MTU waweza jikuta unayapa umuhimu YASIYO na UMUHIMU kwa kuwa tu UNAMIAKILI na  katika kuitafutia shughuli wabobea katika kufikiria mpaka ya wengine na kutafuta jinsi ya kuhalalisha yasiyo kuhusu YAKUHUSU.




Swali:
  • Unafikiri UNAFIKIRIA vya kutosha?

  • Si inasemekana kuna waliogeuka vichaa kwa KUFIKIRI?

  • Unafikiri MADHARA YA KUFIKIRI na FAIDA za KUFIKIRI kipi chema ingawa vyote vyaweza kufanikiwa kutokukupa JIBU?


NI WAZO tu HILI Mkuu!


Hebu binti ya ELIS REGINA ,     MARIA RITA  alete- Encantada




Au tu MARIA RITA aendelee tu na kitu- CUPIDO


Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP