Kwetu WAPARE ni starehe kutania WACHAGA! Lakini,.....
>> Friday, February 12, 2010
Naamini UTANI wa makabila ni miongoni mwa vitu ambavyo vinakufa Tanzania.
Kisa kikubwa nafikiri ni kwasababu WATANI wenyewe siku hizi hawajui historia ya wao kuwa watani inatokea wapi..
Leo nakiri nimejikuta najikanyaga baada ya kuulizwa kuhusu utani wa makabila Tanzania.
Swali:
- Je unajua historia ya mahusiano ya UTANI wa makabila Tanzania?
Ntairudia hii topiki siku nyingine kwa sasa nazidi kuchimba historia ya WACHAGA na WAPARE kuwa WATANI.
Ni HILO TU!
Au ngojea tubadili kwa kuwasikiliza Asian Dub Foundation wakileta - Riddim I Like
Au tu Asian Dub Foundation walete na - New Way New Life
Au tu Asian Dub Foundation wabadili zaidi kwa kukukumbusha - Truth Hides
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Duh!
Unanipa homework nami ku-dig utani wa wakurya vs wahaya na wakurya vs wanyaturu/waniramba :-(
Nadhani Matondo atakuwa amemalisa kupata sababu ya wasukuma/wanyamwezi kuwa watani wa watu wa singida, dodoma, morogoro, Dar, Tanga, Zanzibar. Iringa, Lindi Mtwara na Ruvuma !
Nawaonea wivu kwa kuwa na watani lukuki :-(
@Kadinali CHACHA: Kwanini wawaonea wivu ? Hivi kuna faida katika kuwa na watani wengi?
Post a Comment