Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI kunauwezekano UFIKIRIACHO ni FIKIRA tu!:-(

>> Saturday, February 27, 2010


NDIO,...
... ..labda kuna WATU unafikiri,...
....wanakufikiria UNAVYOFIKIRIA unavyofikiriwa.:-(


Swali:

  • Lakini unafikiri WATU wanakufikiriaje WEYE?

Ndio,...
....kuna PADRI katika fikira haoanishwi na NYEGE  YA DHAMBI,....
.....kwa kuwa  ni kweli ndani ya siku yake HUHUSIANISHWA  na mtekenyo ulazimishao baadhi ya watu WACHUMBIE malaya ambaye NI KWELI afanyacho kwa kawaida ndani ya siku SIO DHAMBI wala UMALAYA.:-(

Swali:

  • Unafikiri MALAYA afanyacho ni UMALAYA  siku nzima?
  • Si unakumbuka wewe sio UNAVYOFIKIRIWA kwa kuwa kitu halisi sio FIKIRA?



NIMEACHA tafakuri hii!
Kumbuka hili ni WAZO TU   MKUU na labda  si AJABU  kujaribu KUPATA POINTI ya hoja YAKE  MHESHIMIWA!:-(


Hebu Macy Gray abadili kwa -I TRY




Au tu Corinne Bailey Rae abadili kidogo zaidi kwa -I'd Like To

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP