Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati na wasiwasi Jumapili njema kwa JAMBAZI ni njema pia kwa POLISI!:-(

>> Sunday, February 07, 2010

Mwenzenu MIE nasita,....
.... kutoa heri ya SIKU .




Hata kwako mwenye ndita,...
....mwenye hiyo mbaya siku.




Hili kweli sitasita,...
.... sijui ya njema siku


Njema kwake Mamasita,....
...si ya PAPASITA siku

NA labda,......

Baya, jema mara sita,...


...NA,....

...njema sio nzuri siku.




:-(











Swali:
  • Siku njema kwa Jambazi si ni ile mbaya kwa aliyefanyiwa UJAMBAZI?

  • Siku njema kwa malaya unafikiri ni ipi?
  • Unafikiri Jumapili njema kwa UKRISTO ni njema kwa UISLAMU ?


NI wazo tu HILI Mheshimiwa!
Jumapili Njema Mkuu!



Au tu Dr Remmy aongelee siku njema kwa mwingine- Siku ya KUFA


Au tu KENYANNA warudie tu -SIKU NJEMA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:54 pm  

jumapili/domika njema Mtaka-tifu Simon. na asante kwa kipande hiki cha muziki wa remmy.

Simon Kitururu 3:34 pm  

@Dada Yasinta: Asante Mwaniwane!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP