Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KAMA kuna BINADAMU, kunauwezekano wakuwaNAajisikiaye kucheka MSIBANI wakati HUOHUO WAKATI wengine wanalia MSIBANI!:-(

>> Tuesday, February 02, 2010

Binadamu !

:-(


Swali:
  • Unafikiri binadamu kaumbwa ili asicheke kwa kuwa taarifa za habari zimejaa habari zitiazo HUZUNI?

  • Ushawahi kutamani uchekeshwe kwa kuwa tu uko katikati ya yakutiayo HUZUNI?
  • Na si unajua asilimia kubwa ya wakeshao wenzao wao wenyewe ni watu wenye huzuni?
  • Umekumbuka kucheka leo?

NI HILO TU Mkuu na ni wazo tu ,...
......na ukiniuliza miye NTADAI ni RUKSA TU MKUU kwako kununa hasa kama unapendeza UKINUNA!:-(



Turudi Kameruni WES alete kitu -MAWAZA


Au tu ngojea tu WES akumbushie tu na kibao chake - ALANE

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP