Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MZAHA !

>> Saturday, February 13, 2010

MZAHA ni siriasi,...
.... kama kiguswacho kwa MZAHA kwako sio MZAHA.



Na bila kujua mipaka ya USIRIASI,...
.....waweza kukosea na kufikiri aliye SIRIASI analeta MZAHA .:-(


Swali:
  • Unabisha?


Kwa bahati MBAYA misingi ya MZAHA wowote ambao ni MZAHA mahiri,...
... ni hali halisi yake isababishwayo na kucheza karibu na KITU ambacho kwako sio MZAHA.:-(



Swali:

  • Unafikiri asemaye ``ACHA MZAHA WEWE´´ mara kibao sentensi hiyo huitoa kutokana na MSUKUMO wa kitu gani?

  • Unafikiri ufikiriaye analeta MZAHA hayuko siriasi na MZAHA?

NI HILO TU na ni wazo tu MHESHIMIWA!!



Kama unapenda Jazz kama mie badili kwa John Coltrane katika -My favorite Things



Au tu Miles Davis aendelee kwa -Round Midnight



Au tu Richard Bona arudishe Jazz Afrika kwa -Eyando

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mwanasosholojia 1:41 am  

Imekaa vizuri mtakatifu!

Simon Kitururu 2:23 am  

@Mwanasosholojia: Asante Mkuu!

Fadhy Mtanga 5:56 am  

Wacha mzaha wewe!

Simon Kitururu 4:04 pm  

@Askofu Fadhy:Nimeacha Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP