Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umekumbuka KUFIKIRIA ngono leo?

>> Sunday, February 07, 2010

[Tahadhari: Wazo limepinda!:-(]







Kwa bahati mbaya,....
... kufikiria NGONO ni moja ya kipimo cha una AFYA gani.:-(



Kwa bahati mbaya,...
.... kutofikiria ngono kwaweza kuwa kumechangia ALIYEPATA UKIMWI LEO kapata kwa njia gani.:-(



Swali:

  • Unauhakika huna chakufikiria kuhusu ngono leo?

  • SI unajua unaweza kutumia UFIKIRIAVYO ngono kuendesha maisha yako kwa kuzingatia kuwa kama uko bize sana mpaka hupati wakati wakuzisikilizia hisia zako za asili za uzinzi uzichungazo usije kuzini , -basi UKO BIZE SANA mpaka sio afya kwako na kama ufikiriacho ni URODA tu a.k.a TENDO LA NDOA kwa siku, - basi huna shughuli za kutosha na si AFYA kwako?
  • Unafikiri ni MUHIMU ZAIDI kufikiria KILIMO kuliko huyo Mkulima ni mtamu vipi katika tendo halali la Mume na MKE hata lile la mazoezi tu ya kuzalisha mtoto HASA ukimfananisha HUYO MKULIMA WA KIJIJINI AFRIKA na fantasi zako za Padre ALIYENONA wa KIJIJI au tu yule Nesi wa Zahanati ya kijiji?





NI HILO TU na ni WAZO tu ambalo nimeliacha kwa kufikiria YA KESHO kazini yenye uhusiano na KIBANO
.:-(



NA wakati unafikiria ILI ustukie kama umeshaanza kufikiria ngono baada ya kunisoma katika huu UjingaBUSARA hebu twende Guinea Mory KANTE alete kitu-MOKO




MORY KANTE arudie kitu- Mama



Au tu MORY KANTE arudie tu na - Yeke Yeke

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP