Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

OYAAA mliosoma MAZENGO Dodoma!

>> Wednesday, February 10, 2010

Oyaa,.....
Naomba niwajulishe rasmi kuwa mail group ya wanaMAZENGO wa zamani imefunguliwa.


So far kuna members 19 mpaka sasa!

Gilbdert Dedan
Mike Mungure
Adelino Lifa
Asupya N
Fredddy Liundi
Vitus Mpanda
Adoplh Kasegenya
Zephania
Simon Kitururu
Jesse Koka
Samuel Keenja
Salum Seif
Mohdy
Fortune Mkony
Amani Mashayo
Alex Ngwandu
Kweba Bulemo
Mwombeki Baregu
Ebenezer Kimaro.

Haya wazee...ukitaka kutuma email kwenye group wewe andika :

Mazengo@googlegroups.com


Then inabidi kuanza kufanya mkakati wa re-union kubwa hapo mjini.

So many nice ideas are coming up.....so lets
get this rolling !

Kidumu,
-Kweba



Kongoli HAPA ,...
.....kuideku Mazengo ambayo siku hizi ni St John's University of Tanzania.
----------------______________________________________------------------------------




Au badili tu nami kwa kuendelea na I Jahman Levi kama enzi hizo nikiwa MAZENGO katika-Ancient Lover


Au tu arudie na -JAH Heavy Load

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:33 am  

Kila la kheri!:-)

Simon Kitururu 4:10 pm  

@Da Yasinta: Aksante!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP