Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI njemba kwa kukojoa pia hutumia COMMON SENSE!

>> Thursday, February 11, 2010

[Tahadhari: Hii banangenge maringo yake ni ya KISWANGLISH!:-(]




Haloo  MPENDA Kuishi!

 Ni matumaini yangu hujambo.

Madhumuni ya BARUA HII ni kukutonya kuwa COMMON SENSE  ni bonge la nyoko,...
... na kwa kutumia COMMON SENSE  kudadeki,...
...kuna aliye JINYONGA, kubaka na kikubwa  zaidi KUKATA TAMAA.:-(

Na ni  hilo tu NJEMBA.:-(


Wako akupendaye ,
 -Mwanambilimbi.


Swali:
  • Si unajua COMMON SENSE ni COMMON SENSE  na labda ni kwasababu haina kitu SPECIAL?
  • Na si unaweza kuendeleza hili wazo la jinsi COMMON SENSE ikuponzavyo kivyako?

-------------------------------______________---------------



DUH!

Badili tu lakini  kama ni ile kitu ROHO  inapenda kwa kuwasikiliza EAST AFRICAN MELODY washushe kitu -HUNA MAMBO





Au tu wapate ZANZIBAR STARS wakutonye- USIONE SOO, sema naye.



Au tu kwa mara nyingine SALLY NYOLO arudie- AWOU

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:23 pm  

Nimestukia leo kuwa hata watakatifu wana matusi:-(

Simon Kitururu 1:01 am  

@Dada Yasinta: Matusi ni nini?

o'Wambura Ng'wanambiti! 7:13 am  

Yawezekana ikawa tusi kwa kufikirika tu :-)

Simon Kitururu 4:09 pm  

@Kadinali Ng'wanambiti: Si utani!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP