kwa mara nyingine; ''BWANA ASIFIWE!!''
>> Wednesday, September 30, 2009
[Tahadhari: Wazo limepinda kiasi hasa kama wewe ni Mkristo!:-(]
Kibinadamu sina uhakika na nafasi katika changamoto UMUHIMU ichukuayo SIFA,...
.....ingawa nastukia MIMTU inavyojisikia vizuri na kuridhika kwa kuwa IMESIFIWA.
Na Libinadamu kwa kupenda SIFA,...
.... labda kweli hata kwa kulidanganya linahitaji KUSIFIWA.:-(
Lakini nasita kuunganisha ya MUNGU na SIFA,....
....kwa kuwa kama ndiye aliyeumba vyote mpaka hiyo sifa na ndiye ampaye mtu nguvu ya kusifia,SONA UHAKIKA kama naye anahitaji kweli kutoka kwa Binadamu wanyao na kubanja KUSIFIWA.:-(
Sipingi wafuatao maandishi ya vya kwao vitabu vitakatifu ambavyo kwa tafsiri zao Mwenyezi inabidi umpe SIFA,....
.... lakini basi kunauwezekano umuhimu wa sifa ni mkubwa sana hata kwa Binadamu kwa Limtu ikiwa kama tukiachana na ya mtu kwa limtu, kwa Wakristo mpaka BWANA anahitaji KUSIFIWA!:-(

NI WAZO tu MHESHIMIWA Muungwana na HAKI YA NANI TENA SIJARIBU kuingilia IMANI YAKO KABAMBE!
SWALI:
- Unafikiri WAKRISTO wengi wasalimianao mara kibao ''BWANA ASIFIWE!''huwa hawamaanishi tu kwa tafsiri fulani'' Kijeba Mambo!'' ?
- Unauhakika lakini kweli BWANA anahitaji kusifiwa?
NIMEACHA na samahani kama NIMEKUKWAZA kinjonjoli MHESHIMIWA na ukipenda niombee IMANI IKUE!
Hebu basi twende Kenya ili Enomizizi and The Rarewatts watusaidie kubadili hali ya hewa KIJIWENI kwa kumzungumzia tena kwa miondoko ya CHAKACHA-BABA MANYORA
Au tu tubaki hapa hapa Kenya katika miondoko hiyo hiyo ya CHAKACHA Safari Sound Band warudie tena kitu chao-Mama lea mtoto wangu
Read more...