Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

JHIKOMAN!

>> Sunday, October 24, 2010

Huyu jamaa ni  rafiki yangu   tokea zamani.



Na ndio,...
.... alinitangulia darasa moja Morogoro Sekondari.

Barikiwa na baadhi ya kazi zake....

Mapenzi



Kuagana


Au tuendelee kutatua swala la Jhikoman ni nani...



Baadhi ya picha wakati nimemtembelea BAGAMOYO kwake...














Baadhi ya picha tulipokutana mitaaani kusipokuwa Tanzania....






6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:23 pm  

nimependa jinsi taswira zinavyoonekana na mziki mzuri pia nimeupenda

Simon Kitururu 8:27 pm  

@Mtoto Mzuri Yasinta: Jamaa ni mtundu .

chib 9:26 pm  

Furaha iliyoje unapokutana na mtu mliyekuwa pamoja zamani, na cha zaidi ni pale muonekano na labda kazi zine zinashabihiana kwa namna fulani.

Simon Kitururu 1:00 am  

@Mkuu CHIB: Si utani!:-(

Umerudi Afrika?

Ney 10:25 am  

nakuona kaka, picha nzuri. Vipi hapo kwenye maji kuogelea je?

emu-three 12:41 pm  

Mhhh, kweli mkikumbukana maswala ya shule. Umesema alikutangulia darasa moja, ...hapo umenikumbusha enzi ya `kutesana' form two kuwakaribisha form one, hasa kwenye shule za bweni, hivi hii kitu bado ipo? Je jamaa alikukaribisha `shuleni'...sijui kama siku hizi ipo hii?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP