Udhaifu unaoweza kujitokeza katika hoja za watu kudai ``WANATAKA kuwa MALAIKA!´´.:-(
>> Wednesday, October 06, 2010
Tatizo la kutamani kuwa kama KITU usichokijua,....
.....labda ni  ALINACHA tu,....
.... kwa kuwa kama MTU atamanicho ni kuwa kama KUKU,....
... ..... kunauwezekano  anaweza kushangaa baada ya kugeuka KUKU kuwa kuku nao  wanapresha tu za MAISHA kama BINADAMU.:-(Swali:
- Hivi si unakumbuka kuwa pamoja na BINADAMU angalau katika mazungumzo waonekanavyo kuwaonea donge MALAIKA , bado UKWELI uko palepale kuwa hakuna BINADAMU mwenye kuwajua vizuri MALAIKA na presha zao?
Ndio,...
... hili ni WAZO tu MHESHIMIWA!:-(Turudi Zimbabwe Audius Mtawarira adinye ndude- Hold On [Shona Version]
Tubakie Zimbabwe na CHIWONISO katika-Wandirasa
Sanii Makhalima naye aendelee kutubakiza Zimbabwe kwa ndude-Hakuna Mumwe
Napenda sana tu kazi za wasanii wa ZIMBABWE ila huwa najiuliza hivi Henry Alonga hujisikiaje akiusikiliza huu wimbo alouimba ukizingatia hali ilivyo siku hizi Zimbabwe uitwao-Our Zimbabwe
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment