Kwa wale washabiki wa Paul the Octopus!
>> Tuesday, October 26, 2010
Jamaa kaanza hivyo leo ,....
POLENI!:-(
Naamini huyu Paul the psychic Octupus (hatched January 2008 - 26 October 2010) ni moja ya ushahidi mambo ya kishirikina au imani za ajabu ajabu ni hai dunia nzima ukizingatia kuna watu kibao walikuwa wanamchukulia VERE SIRIASI na tabiri zake katika World CUP!
Ni HILO TU!!
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ha ha haaa, inaonekana nawe mkuu ulikuwa umeanza kumuamini amini nini!!
Post a Comment