KAMA umeshawahi kupata tabu kuweka swala ulifikirialo kwenye MANENO ya mtongozo ,....
>> Wednesday, October 20, 2010
.... labda CHOCHOTE usikiacho KIKISIMULIWA,....
.... kunauwezekano mkubwa kimechuja utamu au tu kimeongezewa CHUMVI tu zaidi kwenye utamu,...
....kitu ambacho kinaweza kufanya iwe ni kweli USIKIACHO hakina kweli tupu ,...
Swali:
- SI unakumbuka watu wawili katika kukusimulia kuhusu ugali huohuo wa muhogo wawezapata picha mbili tofauti ya ugali huohuo wa Muhogo?
Ndio,...
.... katika kuweka swala hilohilo moja KIMAKINI katika neno kwa watu tofauti,....
.... yawezekana wahitaji sentensi tofauti tofauti kwa watu tofauti kama nia ni kuwaelewesha watu tofauti hata ule ujumbe wa SHENZI ,....
... ili tu ueleweke sawasawa kwa watu tofauti kuwa usemacho katika ushenzi ni SHENZI.:-(Swali tena:
- SI unajua labda inabidi utumie sentensi tofuti katika kufikisha ujumbe huohuo ili ueleweke vizuri baada ya KUONGEA na Rais KIKWETE ukitaka ueleweke na Rais Nyerere wakati unamfikishia ujumbe huohuo wa Rais Kikwete huyo nguli Nyerere?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Hebu Aaron Neville arudie - Tell it like it is
Au tu Aaron Neville na Linda Ronstadt warudie tu-I dont know much
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment