Kilichowahi kushuhudiwa kuwa hutokea kirahisi wakati MHESHIMIWA ana nyege,....
>> Wednesday, October 13, 2010
.... kwa kawaida hathamini sana KWALITI  ya UNONO wa  kitu  katika kushughulikia MATIBABU ya harakaharaka  ya ashki.
Kwahiyo wakati MHESHIMIWA ananyege,....
....... JIHADHARI na AVIFURAHIAVYO katika MATIBABU ya kudhuia mfadhaiko au tu kuwashwa kipele kwakuwa UPO UWEZEKANO  KIPELE KIKISHAKUNWA  furaha yake yahitaji kitu KWALITI KUBWA  ZAIDI na hicho kinaweza kuwa wala sio kile  kilicho saidia kutuliza ashki HARAKAHARAKA wakati kazidiwa MDADI aka ashki.
Swali:
- SI unajua chaguo la mtu la CHAKULA wakati ana njaa na wakati kashiba vinaweza kutofautiana?
- Si unajua kuna chakula ukionacho kibaya lakini hicho huwa kitamu wakati una njaa?
- SI unajua kunauwezekano pia katika UCHAGUZI ujao kuna watakao CHAGUA HARAKAHARAKA ambacho wasingechagua kama wangetulia na kufikiria bila kuwa na papara zipandishwazo jazba ya HALI HALISI ya KIMAISHA ambayo ni NGUMU Tanzania isababishayo watu kutamani kutuliza kipele hata kwa matibabu ya tulizayo muwasho kwa muda tu?
Ndio,...
...nyege HULETA  UDHAIFU wa chaguo la MPENZI wakufanyanaye DHAMBI,...
.. na katika hilo waweza kukuta MHESHIMIWA anatuliza hamu na cha chapu chapu kituliza HAMU.:-(Ndio,....
.... pamoja na yote kuna uwezekano mkubwa sana kuwa ATULIZAYE hamu  na NJAA kwa  magimbi ambayo huwa hayapendi,....
SAMAHANI WAZO LIMEPINDA  na samahani  mara kenda kama nimekukwaza wakati nashusha hii taralila na wazo nalitemea mate POO!:-(
Hebu tubadili kwa CHARO kutupa tena hili Spanish GITAA katika hii- Bolero
Nao Michael Jackson na Paul McCarteney warudie-The GIRL is MINE
Au tubadili tu kabisa na kupewa changamoto na -AJUZA DARASANI
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment