Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika UCHUNGUZI wa UMUHIMU sana wa KISIMI kwenye KUMA kama malengo ni MIMBA!:-(

>> Monday, October 04, 2010

 [Tahadhari: Katika taralila kuna neno kuma na mboo hasa kama majina ya hivi VIFAA kwako ni MATUSI!:-(]

Labda kama nia ni kupata MIMBA,...
.....labda KISIMI sio muhimu sana kwenye  kiupacho utamu MBOO.:-(

Swali LABDA  lisiloweza kudhaniwa ni  matusi:
  • SI unajua kuwa utamu wa chakula labda sio muhimu katika kushiba  kama tu utamu wa MSOSI MTAMU SANA  KWAKO  ijulikanavyo kuwa labda hauna uhusiano wa moja KWA moja  na AFYA ya mtu?:-(

NI wazo tu hili MHESHIMIWA na samahani kama baadhi ya maneno katika tafsiri yako ni MATUSI.:-(

Au tu Profesa J arudie jiwe-HAPO VIPI


Na KALA Jeremiah arudie utundu-WIZI MTUPUNa shughuli isiishe bila FUCKLY kukuna kipele kwa nguna-Doudou

Namisi nywele ndefu kama nilivyokuwa zamani.....
Sijakata nywele kabisa ingawa fupi sikuhizi kama....

:-(

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Malkiory Matiya 4:14 pm  

Hapa nimetoka Kapa!

SIMON KITURURU 4:18 pm  

@Mkuu Malkiory: Labda kutoka kapa ndio ujumbe wenyewe ambao NAO ni UKWELI katika maisha.:-(

Na ni kweli labda nilichoandika ni MATUSI kwa waelewao kirahisi uhusiano wa NENO na UJUMBE:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP