Ndani ya NIA ya kula MBATATA uzipendazo KESHO,...
>> Friday, October 01, 2010
..... inaweza kusaidia MTU ikikumbukwa cha muhimu pekee ambacho unahitajika uwenacho sio MBATATA MBICHI pekee.:-(
Swali:
- SI kuna uwezekano kikufanyacho UPENDE SANA kula UGALI kinasababishwa na upendavyo UGALI kwa maharage yaliyoungwa kwa NAZI?
Ndio,...
... katika NIA YAKO ya kuwa na TREKTA,...
...unaweza kuwa kunakitu kina pungua katika kujazia tako kama hujachunguza ni kwanini unataka TREKTA na pia kukumbuka TREKTA huhitaji ainafulani ya shamba na mpaka labda DIZELI au PETROLI ili kukuna ulengacho ambacho NIA inahitaji uguswe navyo ili kuhakikisha hata kama ni KUIIBIA SERIKALI unafanikisha vyema bila kudakwa kama baadhi ya WAHESHIMIWA waliao ofisini wasivyo dakwa na kupewa masifa BWELELE.:-(Ndio,...
.... labda nia YAKO ya kula UGALI uupendao KESHO inasababishwa na upendavyo MBATATA,...
... na LABDA kwa bahati mbaya ili nia yako itimie ni kweli hata UGALI wenyewe unahitaji MAJI , chungu, MWIKO na sio unga wa MUHOGO PEKEE , - na hizo mbatata ULIZO NAZO labda kama hazina mafuta ya mawese uyapendayo wala hutajipakulia KATIKA MNUSO kipimo BWELELE .:-(
Swali:
- AU?
NI WAZO TU HILI Kingunge NA wala usikauke MDOMO wa nanihii!:-(
Hebu Mighty Sparrow abadili kukunja nne kwa jiwe-Only A FOOL
Au tu Lord Kitchner arudie nguna-Sugar BUMBUM
Au tu Lord Kitchner amalize tu tena kwa jiwe-Kaka Roach
Au tu kabla hatujahama ARROW wanusishe chupi -HOT HOT HOT
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment