Katika UDHAIFU wa TEKENYEKO.:-(
>> Monday, October 18, 2010
Udhaifu wa TEKENYEKO,...
....labda ni kwa sababu UNATEKENYEKA!.:-(
Na ushujaa na UMADHUBUTI wa tekenyeko,...
..... labda ni kwa sababu UNATEKENYEKA.:-(
Swali:
- SI unajua MAZURI na MABAYA , madhaifu na yale KIBOKO, si labda ni kweli kiunganishi ni WEWE tu ndio maana unastukia CHUCHU IKISIMAMIA SHUGHULI au tu kitu kisipodinda?
NI WAZO TU HILI JEMADARI!:-(
Hebu BUNNY WAILER arudie -RISE & SHINE
MAIKO JAKISONI arudie densi
Au tu J Martins na Fally Ipupa waingilie shughuli ki hivi....
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mmmmmmh! kazi kwelikweli:-(
Post a Comment