Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unamkumbuka Ariel SHARON?

>> Wednesday, October 13, 2010

Kama hukumbuki,...
... huyu ndiye alikuwa WAZIRI MKUU wa kumi na moja wa ISRAEL.

Habari zake zaidi HAPA



Picha (c)http://www.knesset.gov.il/


Eti jamaa yuko kwenye koma tokea 4 January 2006 mpaka leo. DUH!

Swali:
  • Hivi huko sio kufa jamani?

Si muda mrefu maana ya kufa itabadilika kimtazamo duniani .

Nimemkumbuka Ariel Sharon baada ya kujadiliana na wadau  kuhusu taaluma inayosemekana kuendelea kutumika siku hizi ambayo  inahitaji  mtu kushushwa joto la mwili , kusimamishwa moyo  na mawimbi ya  ubongo ili kutibu mtu.


Kumbuka kwa kawaida kama Moyo wako haudundi, hupumui, mwili umepoa  na ubongo wako hauna waves ndicho kilikuwa kipimo cha kuwa mtu kafa kiaminiwacho


Hebu cheki kitu kilicho karibu na tulichokuwa tunajadili na wadau:....



Au..

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 11:01 pm  

mtakatifu nami nilikuwa nabishana na watu majuma matatu yaliyopita juu ya mustakabali wa Ariel Sharon...nilistaajabu sana kusoma katika wikipedia na kugundua bado yu hai...

kweli kabisa ni jambo la aina yake

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP