Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati UNAFIKIRIA,....

>> Wednesday, October 20, 2010

.... unafikiri wakati huo UNAFIKIRIA jinsi UNAVYOKIFIKIRIA unachokifikiria?


Na kama kuna MISINGI ya jinsi ya KUFIKIRIA KITU,....

.... unauhakika kila mtu anapatia jinsi ya kufikiria vizuri,....
.... wakati labda ni kweli MOJA YA MATUNDA YA FIKIRA ZA BINADAMU ni hili lidunia MKWECHE lenye maisha yafikirishayo?


MIE NAENDELEA kufikiri.....:-(

Hebu Jack Radics aingilie shughuli na kudai -Its in her kiss


Jack Radics adinye tu na kitu -No matterAu tu Jack Radics aje na Chaka Demus na Pliers warudie-Twist and Shout

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

ney 12:11 pm  

Ni kweli kabisa usemayo! na unaweza kufikiria na usipate jibu la ukifikiriacho na hata ukipata majibu mengineyo ambayo yanaweza kuibua maswali juu yake!

SIMON KITURURU 4:00 pm  

@Dada Ney: SI utani usemacho!:-(

emu-three 4:01 pm  

Nafikiri kila mtu anafikiri na fikira ndicho kinachmfanya mtu awe mtu, kama hufikiri basi akili zimelala, na kama zimelala, tutakuitaje?
Hebu fikiri, mtu akiwa hafikiri atakuwa ni nani!
Ni hayo tu mkuu katika kufikiri kwangu!

SIMON KITURURU 4:16 pm  

@emu-three:Nakubaliana kila mtu labda anafikiri.:-(


Nachojiuliza tu ni je Mtu anavyofikiri KITU huwa anafikiria jinsi anavyokifikiria kitu?

SI kunauwezekano kuna kukosea jinsi ya kufikiri?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP