Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MTU anavyojisikia!

>> Monday, October 18, 2010

KUJISIKIA kwa mtu,....
... kuna mchezo wa kusifiwa tu kama MHUSIKA anajisikia vizuri.:-('

Lakini KUJISIKIA VIBAYA kwa mtu,...
..... kunaweza kuwa ndiko KUOKOAKO MTU kwa kustua mtu  kuwa AFYA YA MWILI na AKILI haijabana miguu a.k.a haijakaa vizuri.

Swali:
  • LAKINI si unajua UNAVYOJISIKIA SASA HIVI labda sio kila mtu AJISIKIAVYO SASA HIVI na kwa hiyo kama unajisikia vizuri sasa hivi labda ni muhimu kukumbuka kuna wajisikiao vibaya sasa hivi?

Ndio,....
....katika kujisikia wapo pia wapendao tu SAUTI ZAO.:-(


Ni wazo tu hili JEMADARI Mheshimiwa!

Hebu tujikumbushe WINNIE MANDELA






Tuendelee naye mwanamama....


Au tu FASAD abadilishe mdinyo kwa-CHIMENE

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:37 am  

Mmmmmhh! nanukuu "mtu anavyojisikia Ndio,....
....katika kujisikia wapo pia wapendao tu SAUTI ZAO.:-(" kaazi ipo kwa nini kupenda tu sauti yako?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP