Unamkumbuka THOMAS SANKARA?
>> Thursday, October 07, 2010
Kwa kifupi huyu Thomas [December 21, 1949 – October 15, 1987],...
...ndiye aliye badili nchi ya Upper Volta kuwa Burkina Faso,...
......Burkina Faso ikiwa na maana -Nchi ya watu wenye Maadili Mema.
Huyu anakumbukwa pia kwa kuondoa Mabenzi Ikulu na kubakiza gari ya aina ya Renault5 ambayo ndiyo ilikuwa gari la bei rahisi kuliko yote nchini humo.
Anakumbukwa pia kwa kuondoa VIYOYOZI IKULU a.k.a Air Conditioners kwa kudai ikulu haiwezi kuwa na VIYOYOZI chilili wakati Raia wa kawaida hawawezi kumudu ufahari huo.
Anakumbukwa pia kwa kukataa misaada kutoka nje kwa kudai kwa uzoefu wake anayekupa msaada huyo anakutawala pia.(He who feeds you, controls you)
Pamoja na mengi ambayo sina muda sasa hivi ya kuyaongelea kwa mfano jinsi alivyouawa kwa msaada wa Ufaransa nimemkumbuka baada ya KUDEKU hii ndude kwa Prof. Mbele
NI HILO TU!:-(
Au tuliza tu manyanga kwa kwenda MALI kupata Mariame SIDIBE
Au tubakie hapa hapa Mali na Sadio Sidibe
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
kaka kaka hali vipi ndugu
Post a Comment