Kama ni kweli WATOTO huiga WAKUBWA,....
>> Wednesday, October 20, 2010
....LABDA ya kale wala sio DHAHABU,....
.... hasa kama ni kweli WATOTO wa siku hizi  NI KWELI wanatabia mbaya,...
.... kitu ambacho labda  kuna ukweli hao watoto ni wabunifu namna hiyo na hawakujifunza baadhi ya TABIA MBAYA zisizo fanana kidhahabu kwa kuiga WAKUBWA.:-(Swali:
- Unauhakika katika TABIA MBAYA za JAMII mchango wako haupo?
Ndio,....
.... kwa bahati mbaya kale kamsemo  kwa UNG'ENG'E kuwa OLD is GOLD,...
... labda kamezidishiwa chumvi ndio maana kuna mpaka MIJIDUME MIZEE  MIZIMA inamezea dogodogo chuchu sindano na pia MIJIMAMA mizima MIZEE  ambayo inatokwa udenda kwa  RIJALI hausiboi mwenye misuli  chuma na kujituma utafikiri anadamu aina ya viagra.:-(
Swali:
- Unafikiri kama kila OLD is GOLD kwanini SERIKALI za AFRIKA ziongozwao na VIJANA wa ZAMANI mambo yake sio ya kidhahabu?
NI wazo tu dhaifu hili MKUU!
Hebu tumfuatilie BOBBY BROWN tokea enzi yuko na NEW EDITION katika-COOL it NOW
New EDITION katika -CANDY GIRL
Bobby Brown katika-Roni
Au tumalizie tu na BOBBY BROWN wakati anacheza mchezo wa MTU na MKE WAKE na WHITNEY HOUSTON katika- Something In Common
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment