Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nachojaribu kuongea HAPA katika BLOGU hii,....

>> Friday, October 22, 2010

....nikiitacho UjingaBUSARA,....
....kinaweza kuwa ni KWELI ni UJINGA kwa WATU fulani ,....
..... hasa wafikiriao katika UJINGA hakuna CHAKUJIFUNZA.:-(

TUNAKUMBUSHANA tu MKUU kabla sijakutakia BOMBA la IJUMAA na WIKIENDI NJEMA.

Haya basi WAKUU,...
..Ijumaa njema na BOMBA la WIKIENDI Waheshimiwa!
TUKO PAMOJA WAKUU!

Mie naanza hivyo kivyangu lakini siwezi kukuacha bila kukuachia DWELE anong'oneze kitu ambacho unaweza kumshutumu kama unaingilia mambo kwa papara bila kusikiliza na kuelewa katika -I am cheatin'


Dwele amwage tena na nyundo-Weekend LOVEHalafu hebu tu na  MUSIQ abandike tu pia nyundo-HALFCRAZY

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:34 am  

Nimeipenda picha yako ulivyofunga mikono. Mkaka umependeza :-) Ijumaa njema nawe na bombiiii la wikiendi njema.

SIMON KITURURU 12:51 am  

@Mpenzi DA YASINTA: Unaruhusu nikupeleke kwa daktari wa macho bloga Dr CHIB ili aangalie ni nini tatizo katika macho yako kama unafikiri nimependeza?

Ijumaa na Wikiendi asali kwako pia Yasinta!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP