Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LEO nawatakieni UCHAGUZI Mwema !

>> Sunday, October 31, 2010

Wiki hii nimejikuta nikisikikiza malumbano ya UCHAGUZI kutoka kwa marafiki watokao BRAZIL, Ivory COAST na Tanzania ambao wote LEO ni siku ya kupiga kura katika NCHI ZAO.Kila la kheri WABRAZIL,...
......WaIVORY COAST na WATANZANIA mpigao kura leo!

Katika kuilenga TANZANIA:
Tuombee AMANI na uchaguzi huu uende SHWARI! 
MUNGU IBARIKI TANZANIA!

NI HILO TU!Hebu Ze comedy wabadili kwa -Muziki mnene huu


Ze comedy katika - Kurudisha chenji muhimuAu tu ngojea Lágbájá na abadili tu na- Bling Bling PandaAU tu Lágbájá ambaye ni msanii nimuheshimuye labda kuliko wote Nigeria sasa hivi arudie-Gra gra

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:40 am  

Amina!!

mumyhery 1:31 pm  

Mungu Ibariki Tanzania

EDNA 1:38 pm  

Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP