Katika KUNYWA POMBE kwa MHESHIMIWA ili kuipa nafasi POMBE iongee!
>> Thursday, October 21, 2010
Kuna stori za watu HUZIJUI,....
.... kama hujakutana na MTU umjuaye wakati yuko BWIII na POMBE inamsaidia kuongea.:-(
Swali:
- Si unajua kuwa kuna hata MIZIKI ambayo hunogea zaidi WALEVI kwa kuwa ni mitamu tu zaidi ukiwa umelewa?
Ndio,....
.... PAMOJA na VYOTE VILEWESHAVYO ambavyo huitwa POMBE ,....
.... DINI , siasa za OBAMA , Mrema au KIKWETE,....
.....kama tu NGONO a.k.a URODA umfanyao SHEMEJI YETU aliyeolewa na MHESHIMIWA  aongee sana na HAUSIBOI siri za MMEWE  ambaye ni wetu MHESHIMIWA ,.......ni vilevi tu  INGAWA HURUKWA na JAMII kuangaliwa kama VILEVI,....
...na  ukikutana na aliyelewa utastukia,....
.....kuna watu  uliokuwa unawajua  kuwa ni WAKIMYA ambao  wana STORI NYINGI TU ZAIDI wakiwa  WAMELEWA.:-(
NI wazo tu hili MHESHIMIWA na nalikatiza !:-(
Hebu jamaa alie kidogo...
Au tu Toure KUNDE aingilie shughuli kwa ndude-Wadini
Au tu Toure Kunda aendelee kukuna kipele kwa kijiti-Rapada
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment