Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika swala la DOGODOGO saizi yangu!

>> Saturday, October 16, 2010

Saizi ina umuhimu wake,...
.... na ikizidi  MASWALA yaweza kukuzidi.:-(
Swali:
  • AU?
Ndio,...
... hata katika MHADHARA umati ukizidi,...
.... MGAMBO wanaweza  wasitoshe katika swala  ZIMA la kuzuia fujo.:-(

Ndio,...
... ukubwa ukizidi,....
.... NANIHII inaweza kupwaya kwenye BWAWA   ingawa  pia  ukubwa ukizidi hata ule wa lawalawa nyama  unaweza kuondoa baadhi ya starehe ya kutafuna lawalawa nyama HATA ya aina ya Big G  au tu  Jojo kwakuwa saizi ya mdomo na KIBURUNGUTU CHA KITAFUNWACHO haviendani.:-(

Swali:
  • SI unakumbuka sababu kwanini KLABU babu kubwa huwa hazitaki watu wengi?
  • SI kuna uwezekano kuwa hata BLOGU ZA KISWAHILI  babu kubwa katika SAIZI labda ni zile zisizotembelewa na watu wengi KISAIZI?


Lakini pamoja na yote labda ni vizuri tukikumbuka kuwa  bado,....
.... labda ni kweli  kuwa SAIZI ZA KORODANI za MHESHIMIWA,....
... si lazima  NI KWELI MHESHIMIWA MWENYE BOMBA ZA KORODANI KUBWA huzalisha watoto wengi akidingilisha DINGILIDINGILI MPAKA CHINI kwa chini  kwa mwenye  kuma nzuri kikibeba MIMBA.:-(

Swali:
  • SI unakumbuka hilo lakini wakati unaangalia kwaliti YA UASHERATI WAKO WENYE RUKSA na sio wingi au udogo wa SAIZI ya kitu kichunguliwacho au kichunguliacho undani wa sehemusehemu?


Ndio,...
.... kuna ukweli pia kuwa DOGODOGO SAIZI YANGU,...
.... si dawa kimatibabu la kila MTU,...
... kwa kuwa katika wengi KUNA MENGI  na kwa wengine TIPWATIPWA KISAIZI  ndio msaada  kisaizi kwa kuwa nia  ya KIKIBURUDISHO ni kuogelea bwawani na moja ya  furaha ni KUPWAYA,....
....yote ikiwa ni katika kukabili TU ya maisha ya angalau mara mojamoja kupata kiburudisho MURUA katika staili ya ile kitu ROHO inapenda.:-(


Ni wazo tu hili MKUU katika falsafa za MAISHA na NIMEACHA!:-(
Jumamosi NJEMA Mheshimiwa!
Hebu Sam Mangwana arudie-Bana ba Cameroun




Remmy Ongala arudie -Ndumila Kuwili


Au tu Makassy naye adinye tena -Mambo Bado

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP