Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

FIKIRIA TENA kwa kuwa labda kwa KUFIKIRIA tena -KUNYA kwaweza kugeuka kuwa ni KUJISAIDIA!:-(

>> Wednesday, July 27, 2011

Na kwa kawaida watu HUFIKIRIA wanafikiria,...
.... kuliko kufanya kitendo cha KUFIKIRIA!

Swali:
  • Unafikiria?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu tugewe na  Simphiwe Dana akiwa na Mthwakazi adai-Nkwenkwezi



SIMPHIWE DANA atekenye - ILOLO



Aingizie - Unthandazo Wase Afrika



Au tu huyuhuyu  Simphiwe Dana amalizie kwa ndude- Malaika


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 3:42 am  

duuuuuuh!

Simon Kitururu 5:48 pm  

@Papaa Fadhy: Mmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP