KIASI KIKIPIMO hata cha UUME WA UBWABWA kwenye UKE wa mchele!:-(
>> Monday, July 25, 2011
KIASI ,...
..... ni kipimo hata kwa wastukiao kikuingiza WAMEZIDISHA!:-(
Swali:
- Au?
KIASI!
Na kuhusu KIPIMO cha kiasi hata cha kuingiza kwenye UKE,....
.... kwa kiasi inasemekana kama nia ni kupata UJI ukizidisha KIASI cha UNGA utastukia umepata UGALI.:-(
Swali:
- AU ?:-(
Na ndio KIASI,...
.... ni kipimo ovyo hata kama huiingizi au unaingizwa,...
....kwa kuwa ina semekana KIASI changu kwa KHADJIJA inaweza kuwa tayari kwa KHADIJA kuma inauma!!:-(Na KIASI ,...
.......inasemekana kuna kizaidi walioingizwa au kitafsiri za WASTAARABU ni kuwa WAMEFANIKIWA.:-(
Swali:
- Si KIKIASI kama kipimo inasemekana labda TAMU inaweza kuzidi utamu?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Black Uhuru warudie kikuanzisha - Plastic Smile
Ol Dirty aongee
Ol Dirty adai kuwa - Baby, I got your money
Kabla haja -Shimmy Shimmy Ya
Au halafu aje tu na BUSTA RHYMES katika -Woo Hah!
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Du, wazo hili nimetoka kapa kabisa..Yaani hata sipati picha ila kweli kipimio hakiwezi kuwa sawa!
@Mkuu Viny: Labda hujatoka kapa MKUU! Hasa kama kuna kitu umewaza baada ya kulisoma ambacho kinaweza kuwa ni `` HIVI kwanini nimesoma huu UPUMBAVU?:-(
Post a Comment