Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jinsi ya KUMCHOKOZA Kishtobe ZUBEDA!

>> Saturday, July 23, 2011

Achokezekaye,...
.... huyo kiuchokozi LABDA kashakaa mkao wa KUCHOKOZEKA!:-(

Swali:
  • SI uchokozi  ni mpaka ukuguse ndio UTACHOKOZEKA?
  • Ushawahi kufikiria ni nini kwako  ni UCHOKOZI?
  • Si unajua chochote kile aongeacho mtu inaweza kuwa ni UCHOKOZI na siri ya ni kwanini kuna mengi hayakuchokozi LABDA ni kwa kuwa tu hayo ki hata kikipele weye huna hicho na ndio maana hata mtu akune vipi wewe kwa kuwa huwashwi basi afanyacho mtu kikubinya jipu kwako ni KUFINYWA?
  • Si unajua chochote labda ni UCHOKOZI ila inategemea tu mapozi yako?


Na jinsi ya KUMCHOKOZA Kishtobe,....
.... kama unataka urahisi,...
.... labda mjue kwanza huyo MTU na ndio kirahisi unaweza kustukia hata KUMKARIBISHA UGALi na sio MATOKE kwa SENENE labda huo KIHAYA ni UCHOKOZI:-(



Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Prince aanzishe upya kwa -KISS



Turudi  tu kidogo Zimbabwe na Chidzoka kwa ndude -Rocqui



Au hapahapa Zimbabwe Decibel achomekee nanihii-Chido




Halafu hebu  PRINCE arudishe utu uzima kwa - Sexy MF




Kabla tu huyu huyu  PRINCE amalizie tu kwa .....Crimson and Clover


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP