Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unamkumbuka SITI binti SAAD?

>> Friday, July 08, 2011

Kama humkumbuki ,...


... au hata hujawahi kusoma kitabu cha Shaban Robert,..
... kile kiitwacho "WASIFU WA SITI binti SAAD .",....


.... pitia huku kwa DA CHEMI

(1880-1950)

R.I.P SITI!

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 7:30 pm  

Heheee hii ni kumbukumbu nzuri,NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE....unakikumbuka hiki nacho?

Upepo Mwanana 8:56 pm  

Nilikisoma hiki kitabu nusu tu kikaibwa sijui na nani

Rachel Siwa 9:39 pm  

Hivi hakuna hata kavideo kake yaani hata ya kuigiza tuu?mimi sijawahi kusoma zaidi ya kusikia stori zake tuu,je mwenye nacho au nitaweza kukipata vipi?

Shaaban Fundi 1:10 am  

Umenikumbusha mbali sana.....nilipokuwa TZ nimenunua vitabu vya mandawa na mandenge, juma na roza, na unakumbuka vilevile Gurioni Katerero...hahahah
Namfundisha binti yangu Kiswahili kutumia vitabu vya kizamani sana. Bomaba sana mzee.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 5:32 am  

Wasifu wa Binti Saadi ni Shakespeare wetu (Shaaban Robert) at his best! (samahani kwa matumizi yangu ya Kiingereza hapa!). Nimeshakisoma kitabu hiki zaidi ya mara kumi na kila ninapokisoma sikosi kutafakari!

Bwana Shaaban Fundi - hivyo vitabu ulivyovitaja vinapatikana wapi? Nitafurahi sana kuvipata. Tuwasiliane!

Simon Kitururu 7:10 am  

@EDNA: Nakikumbuka!

@Upepo Mwanana: Hiyo ni taarifa nzuri kweli kama bado kuna waibao vitabu maana ukisikiliza yaongewayo mtaani ni rahisi kufikiri watu hawasomi tena vitabu na kwa hiyo hata kuibiwa kitabu ni jambo lisilowezekana kama vile Tanzania kuwa na umeme usio wa kubabaisha isivyowezekana:-(

@Rachel: Kusema ukweli kavideo sijawahi kuona! Mie nacho mahali Tanzania kwenye kamkusanyiko ka vitabu kangu! Nikipitia pale na kama hujakipata ntakutumia.

@Shaaban:Poa sana huachi kumfunza mwanao Kiswahili Mkuu!

@Mkuu MMN: Kitabu hiki mwanana na Shabaan Robert ni nguli sana aisee!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP