Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA kuna wakati wa MBUZI JIKE KUPANDWA na wakati huo ajuaye ni BEBERU kwa kuwa kanusa NDUDE!:-(

>> Thursday, July 21, 2011

Na kwa kunusa,...
... si unajua katika HARUFU NZURI labda sio kila mtu katika MTINDI ,...
.... anakumbuka MTINDI ni  michezo ya kuozesha MAZIWA kama JIBINI?




Ndio,..
.....haki ya nani tena ,.....
......AJUAYE hata ananusa nini kama BEBERU,...
.......labda JIKE  la kupandwa lipo na limenuswa ila BEBERU kwa hata harufu nzuri korodani  hazina ACHALI.:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu Barry White aje live tena  katika -Can't Get Enough Of Your Love Baby




Au hebu Shabazz Palaces waje tena na shoo nzima,.......:-(


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 1:32 pm  

Mkuu Duh, umesemaje, unanikumbusha jamaa yetu mmoja yeye pua imeota sugu kwa kusguliwa, maana kila harufu kwake ni balaa...TUPO PAMOJA MKUU!

Simon Kitururu 7:08 pm  

@Mkuu M3: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP