Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mtoto ukikua labda UTAJUA na kuweza kusamehe WAKUBWA kwa kutokukununulia PIPI kila ukilia !

>> Saturday, July 09, 2011

Kukua ni SHULE,...
.....na moja ya kiwezacho kujitokeza ,...
... yaweza kuwa ni kwa MTOTO  aliyekuwa analalamikia WAKUBWA kujikuta anafanya,...
... yaleyale  ambayo wakati ni MTOTO alikuwa analalamikia WAKUBWA!:-(

Swali:

  • Si ukikua unaweza kujikuta unapata majibu ya mpaka kuwa PESA haziokotwi, KAMA  kuna mwenye mtoto kuna uwezekano HUYO aliwahi kufanya matusi, au tu mpaka kuwa labda kuna wakati wakati msosi  haubadiliki nyumbani  na kila siku ni maharage tu  labda WAKUBWA walikuwa WAMECHACHA  na chumvi kwenye MAHARAGE walikopa nyumba ya jirani?


Ndio,..
... kua UTAJUA,...
... na labda kuna utakayo wasamehe WAKUBWA,...
... hata kama kwa utoto umri wako bado ni miaka TISINI za karibu na MIA!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumamosi NJEMA!


Hebu ghafla Shabazz Palaces wakatizie denge kwa - Bop Hard



Au tu Shabazz Palaces waje na show nzima....



Au waje na KUHOJIWA/interview baada ya kushusha ndude kama kawa.....


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP