Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NIpe KIDOGO nichangamshe DAMU!

>> Thursday, July 21, 2011

Kwa walalahoi TANZANIA,...
.... labda kuchangamsha DAMU zao wala haina uhusiano na matatizo ya UMEME ,...
....MHESHIMIWA!:-(

Swali kwa MHESHIMIWA KAMANDA BUNGENI Tanzania:

  • Si labda kuchangamsha damu HATA ya kiuchi KWA wa yaleleayo WATANZANIA labda inaweza kuwa ni kwa WALALAHOI KUAMINI au KUFIKIRIA angalau watakayo  katika kujichua itakua bei rahisi hata bila jirani kustukia KIJANA mjanja kistarehe zake binafsi anajichua kama WAKUBWA SEREKALINI ki serekali msenge tuliyonayo?



Ndio,...

.....twajua LABDA WAHESHIMIWA  inawezekana,...
....TUPENI KIDOGO tuchangamshe DAMU!:-(

Ni wazo tu WAKULU!:-(


Hebu D'angelo arudie kukata jando kwa - Marvin



D'Angelo na Erykah Badu waangalie govi kwa- Your Precious Love



D'Angelo ashikeshike tundu kwa  kidole- Untitled


Kabla tu huyuhuyu  D'Angelo kimatusi YAKE hajamuweka kimwana mwenye bonge la matege TUMKUMBUKE ki - Brown Sugar


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Kibogoji 3:36 pm  

Watakunyima VISA Simon. Maneno makubwa hayo.Ndoo maana wanakataa katakata dual-citizenship,wanajua watafungua chupa iliyojaa siafu (askari) kuja kuwavurugia upumbafu wanaouendeleza.
Unafuatilia habari za Karo bungeni. Katibu wa kudumu wa wizara ya Nishati na Madini? Mmmmh! mi simo.

malkiory matiya 11:02 pm  

Suala la umeme inakatisha tamaa kwa kweli. Rais alipohojiwa na BBC alijibu maswali kama vile mtoto wa chekechea. Eti tatizo linatokana na maji kupungua kwenye mabwawa ya kuzalishia umeme. Tanzania itaendelea hadi lini kutegemea umeme wa kutegemea kudra za mwenyezi mungu? alitakiwa ajibu hili swali lakini pengine kwa makusudi au uwelewa mdogo hakufanya hivyo. Badala yake aliongea kwa jazba ya hali ya juu!

emu-three 10:39 am  

Tatizo la umeme ni karaha, yaani mngelijua adha tunayopata, hasara tunayopata...yaani we acha tu...!
Nilitegemea nchi sasa hivi ingekuwa inahaha huku na kule, lakini wapiii! wapinzani mpo wapi? lakini hilii sio la wapinzani tu, ni kila mwananchi aulize na ajiuliza kama yeye atafanya nini ili janga, kama liitwavyo litaishaje?

Simon Kitururu 8:24 pm  

@Shaaban: Si ndio hapoo!:-(

@Malkiory:Yani we acha tu yani!

@M3: I feel U brother! Yani inasikitisha.:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP