Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI inaaminika KUNA TOFAUTI za wenye AKILI DARASANI na watombao WAZURI wajinga DARASANI!:_(

>> Sunday, July 10, 2011

Na inasemekana wenye akili sana DARASANI hasa ambao akili zao zinastukiwa kwa kuwa WANAJITAHIDI SANA darasani kitu kifanyacho yaonekana wanaakili sana ,...

... labda ,...
...UCHOCHORONI I hata kiakili ,...
....UCHOCHORO hawauelewi kama KIBAKA ambaye sehemu yake ya kukaba watu  kwenye migomba DAR- es SALAAM ni uchochoroni!:-(

Swali:
  • SI inasemekana DARASANI wale wazuri kwa kawaida huvutiwa na wajinga waaminikao wana misuli na sura kisura ni  WENYE SURA NZURI hata kama ni WAJINGA  na ndio maana mwenye akili ambaye anasura kama pua ya bata labda kwake ni kistori tu anasikia KUWA  kidosho MZURI kama malaika  ambaye hata anaamini ni mzuri ingawa kiujuzi anajua anakunya pia- HUWA anatoa jicho kwa wajanja ambao ni wajinga darasani AMBAO kama UZURI ni NGURUWE basi hao  ni wazuri kuliko pua ya nguruwe kisa ndio KWA KUWA NGURUWE ndio asifiwaye HICHO labda ndio kimtiacho nyege na sio kinguruwenguruwe?:-(


Ndio,..
... kuna wadaio kisa shule zenye waliojifunza wazuri huwa hawafanani na MGURUWE,..
...labda NDIZO zenye wenye akili sana katika kutafuta WAZURI wasiofanana na NGURUWE,...
....na  labda huko ndiko kwenye wenye sura ka- nguruwe kwa asiyependa NGURUWE kiulimbwende kwa kuwa huko ndiko kwenye wapimao UZURI wa MALAIKA kama  MALAIKA ambaye labda kisura hakuna amjuaye!:-(

Swali:
  • SI unajua nguruwe ni mrembo kama apendaye kikupenda apendacho kiko  KINGURUWE?

Ndio,..
...ni wazo tu hili MUUNGWANA!
Jumapili NJEMA MHESHIMIWA!:-(



Hebu Salif Keita ajaribu kutuliza wakati hatutaki kutulia kwa - Yamore



Au hebu Gregory Isaacs ahamishie kwenye- Border



Gregory Isaacs ingizie bila kondomu - Number one




Gregory Isaacs kabla hajachomoa tupate- My Only Lover



AU tu  Gregory Isaacs atulize kitombeo tena kwa  - Cool Down The Pace


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP