Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KHADIJA akiwa tayari zaidi ya HALIMA kwa MAUMIVU kisa kajiandaa zaidi kusikilizia UMIVU!

>> Monday, July 11, 2011

Ukiwa TAYARI na UMEJIANDAA kuumia,...
......labda MAUMIVU yana MAUMIVU tofauti aisee!:-(


Swali:
  • Au?

Na kama KHADIJA kajianda zaidi ya HALIMA kwa MAUMIVU,...
....ingawa inadaiwa kuwa MAUMIVU ni MAUMIVU TU,...
.....lakini labda KHADIJA kwa kung'olewa JINO  kwa kuwa kajiandaa,....
... anaweza kuwa angalau anadawa kiasprini zakutuliza MAUMIVU!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA MUUNGWANA!:-(
Jumatatu NJEMA KWAKO MHESHIMIWA  na na hata kwa kishtobe !:-(




Hebu AIC Chang'ombe VIJANA CHOIR waingilie kati kwa kugusa kwa-GUSA



Youssou N'Dour abadili kidogo kwa ~Pitche me



 Donell Jones anisemee katika - My apology



Donell Jones asawazishe katika - Feelin You




Au tu Donell Jones amalizie tu kwa - This Luv



Bado nipo!:-(














2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 12:18 am  

duh! Hizo picha!!

Simon Kitururu 1:51 am  

@Mkuu CHIB: Mmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP