Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo la KUTENGANISHA yaleyale yaheshimiwayo CHUMBANI ili WASTAARABU wajifanye wanayadharau HADHARANI!:-(

>> Thursday, July 21, 2011

Aidia ya KILA kitu kina MAHALI PAKE,...
... usisahau moja ya sababu ya kitu hicho ni kwa kuwa KITU kikiaminika kinafanyika mahali pake huwa mpaka KUFANYA matusi hugeuzwa akilini mwa watu kuwa ni KUFANYA mapenzi!:-(

SWali :
  • AU?



KIBINADAMU,...
..... kwa kuwa WASTAARABU kistaarabu wafanyayo CHUMBANI ,.....
.... huyadharau au kuona hayana HESHIMA  hadharani,...
.... BASI labda usishangae kuwa UWAHESHIMUO na kuwaita WAHESHIMIWA HADHARANI ni wezi kwenye chumba fulani hata kama chumba hicho huitwa OFISI!:-(

Swali:
  • Si ya chumbani ni SIRI?
  • Na si ofisi ni CHUMBA?
  • Sasa unashangaa nini kuwa moja ya vifanyikavyo chumbani na waheshimiwa uwaheshimuo TANZANIA ni rushwa na ufisadi?

Ndio,...
.... kwa kuwa TAMU chumbani hufanywa SIRI,...
... kisiri moja ya UTAMU wa ya SIRI  ni kwa kuwa hujui kiutamu MHESHIMIWA analambaje kidude na hapa wala siongelei NGONO!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu tudunduliziwe ngoma ya mpwito na Stimela katika - Whispers In The Deep



Stimela wananihii- Unfinished story



Au tu  Yvonne Chakachaka atulize kwa nyundo - I'm burning




Kabla hajarudia tu maswala ya mganga wa kienyeji kwa -Sangoma






Nipo!:-(



































1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 1:37 pm  

Mkuu tupo pamoja, nimekupata, ulikuwa na washikaji!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP