Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MATATIZO king'ang'anizi kwa KAWAIDA huwa ni yaleyale hata kama LEO ni siku NYINGINE!:-(

>> Monday, July 04, 2011

Ndio LEO ni siku NYINGINE,...
.... ingawa labda MATATIZO ni yaleyale!:-(

Swali:
  • AU?


Na SIKU NYINGINE ingawa inaweza KUSINGIZIWA matatizo MENGINE,...
...lakini labda bado UKWELI uko PALEPALE kuwa  kwa kawaida MATATIZO king'ang'anizi hata kwenye siku nyingine huwa ni YALEYALE tu aisee!:-(



Swali:
  • Si njaa ni ileile hata kama njaa ya LEO labda huonekana ni MUHIMU kuliko njaa ya JANA?


Ndio,...
.... labda hata NJAA ni njaa tu ,...
..... ingawa NJAA ya LEO  inaweza kufikiriwa ina tofauti na njaa aliyokuwa nayo KIGOLI jana wakati anamendewa!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA,...
....na wala LABDA usikonde!:-(

Hebu ghafla Daudi Kabaka aingizie - Shauri Moyo



Daudi Kabaka aongezee dozi kwa - Mchumba Wangu




Au tu Daudi Kabaka adinye tu na - Msichana wa elimu

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 10:25 am  

Mkuu unakumbuka ule usemi usemao `mla ni mla leo, mla jana kala nini?
Nawaza tu mkuu tupo pamoja

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP