Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ingawa Mwanamke MZURI kwa MSENGE havutii NASIKIA!:-(

>> Friday, July 22, 2011

 Ila ,...
... labda kwa wavutiwao na WASICHANA sio WASICHANA tu,...
...hasa ukizingatia eti  inadhaniwa WANAUME  inasemekana ndio washughulikiao maeneo ya KIKE wakati labda MWANAMKE kwa kuwa ndio ajuaye UKE labda ndie angehitajika kiufundi KATIKA HILO la kike KITATUZI  !:-(


Swali:

  • Si inasemekana labda SERIKALI ya WATANZANIA labda kwa WATANZANIA ingehitaji wahitaji UFUNDI WA WATANZANIA kuliko ilivyo sasa kuwa wasio WATANZANIA  ndio waamuao mpaka BAJETI ya TANZANIA kwa kuwa ni pesa zao kwa kuwa KITANZANNIA hata umeme kitatuzi SHIDA?
  • Si unajua kiusagaji MWANAMUME hausiki?



NI wazo tu hili KAMANDA na usikonde!!:-(


Hebu tubadilishiwe wazo na Super Cat ki-Vineyard Style




Au tu Super Cat arudishe na nyundo ya enzi ile -Don Dada




PRINCE alikuwepo lakini,...
... kama nilivyojaribu kumdaka!:-(

























2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 7:55 pm  

!!!????

Simon Kitururu 8:21 pm  

@Mkuu CHIB: Mmmmmmhhh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP