Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hivi wewe ni DINI GANI?

>> Tuesday, July 26, 2011

Ndio,...
.... kuna uwezekano ,....
.....WATU wengi wajitambulishao  KIDINI ,....
..... dini wafikiriazo zinawatambulisha  wala kidini hizo HAWATAENDA mbinguni kwa kuwa ,....
.....LABDA,....
...... kihizo DINI  imani zao na maadili yake HAO  ukiwachunguza hata kama majina yao ni SHEKHE au ASKOFU,....
.... hao wala hawafai kwa kuwa HAWAZIJUI hizo DINI!


Swali:
  • Hivi wewe DINI GANI? 
  • Umewahi kujichunguza halafu ukajiaminisha kuwa ni kweli wewe ni DINI hiyo?

Ndio,...
....LABDA ni udhaifu kama moja ya kitambulisho chako ni DINI yako ,....
.... kwa kuwa labda hilo  ni moja ya KITAMBULISHO kuwa wewe kama WEWE haitoshi kikitambulisho!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala usikonde!:-(


Hebu KOFFI OLOMIDE aingilie tena SHUGHULI kwa-Fouta djallon




Au tu Koffi Olomide aje na mwalimu wake PAPA WEMBA wastue tena ndude-Wake Up


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 2:40 pm  

nami hilo swali la dini huwa linanikera sana

Simon Kitururu 8:42 pm  

@Askofu: Tuko pamoja katika hilo yani!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP