Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwako ni VITA ila kwa mwenzio ni BIASHARA!Kwako ni INZI kwa mwenzio ni BIASHARA!Kwako ni UMALAYA kwa mwenzio ni BIASHARA!:-(

>> Friday, July 15, 2011

Hapa DUNIANI chochote huwezakuwa ni BIASHARA!:-(




Na  wakati wewe tatizo lako ni MBU,...
.... kwa mwenzio hiyo ni BIASHARA ya dawa na vyandarua!

Na wakati wewe unahudhunikia kuna VITA na mambo si BARABARA,...
....kwa wenyejicho tofauti hata wawezao kudhaniwa ni MBUMBUMBU,...
..... kwao yaweza kuwa ni BIASHARA ya BUNDUKI na kimaslahi vita LABDA  sio swala la KUTATUA.:-(

Swali:
  • Si unajua chochote kikusumbuacho kama CHUPI yenye KITAMBAA kibaya LABDA kuna mjanja hicho ndicho kimpacho UAHUENI kwa kuwa KIMCHUBUO WA CHUPI katika MAPUMBU  kashajua kunamteja wakificha nyeti ahitajiye maeneo ya ndani ya gwaguro yahifadhiwe na kufuli yenye kitambaa laini?
  • Kwani nani kakuambia kila mtu atanufaika na TANZANIA yenye umeme usiosuasua?

Ndio,...
....LABDA kwako ni kivyako,...
... kwa wengine UKIUMWA MINYOO ya MKUNDU  ni siri ya nyongeza katika biashara zao!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu Habib Koite aaanzishe upya vita kwa - Sirata




Habib Koite aendeleze vita kwa-Takamba




Kabla Thomas Mapfumo hajakatizia denge nakushusha tena shughuli iitwayo - Moyo Wangu



Au tu Thomas Mapfumo & The Blacks Unlimited wamalizie kazi ...



Bado HUWA nipo MHESHIMIWA !:-(





















2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Kibogoji 7:00 pm  

Hello Simon,

Kumbe unacheza muziki au la? Kama kweli, lini utaleta bendi yenu huku ng'ambo ya Atlantic Ocean? Kuna sehemu yoyote tunaweza kununua kazi zako/zenu?

Aksante sana.

Simon Kitururu 6:05 am  

Huwa nafanya hivyo ila siku hizi ni kama hobby tu muda hautoshi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP