Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama BINADAMU anatafuta cha KUAMINI,....

>> Tuesday, July 12, 2011

 ....atapata tu cha KUAMINI,...
.... hata kama akiaminicho hata  kama MUNGU,...
..........kwa wengine ni mti waaina ya MBUYU tu HICHO!:-(






Ni hilo tu MHESHIMIWA na ni wazo tu hili!
Siku NJEMA MKUU!


Hebu Mighty Sparrow arudie kumuaga Lord Melody baada ya kufariki kwa kitu -Melo




Au tu Lord Melody mwenyewe ambaye Harry Belafonte alimuibia sana nyimbo bila kumlipa aingilie kati kwa -Rastaman be careful



Au tu Arrow warudie-Hot Hot Hot


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 3:32 pm  

Imani mkuu ni kitu cha ajabu sana...nashangaa kama mungu ni ngombe, au mtii au sanamu, basi aliyetengeneza hiyoo sanamu au aliyepanda huo mti au aliyefuga huyo ng'omba ataitwa nani?

Simon Kitururu 11:08 am  

@M3: Hilo nalo ni neno!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP