Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUJIVUA GAMBA vs KUJIVUA CHUPI- katika siasa za TANZANIA!

>> Tuesday, July 19, 2011

Labda,...
...kuna wafananishao kujivua GAMBA na kujivua KIFICHA NYETI aka CHUPI.:-(

Swali:
  • Si wajua ajivuaye CHUPI huweza kurudia kuivaa CHUPI ileile hata ikiwa ni kisiasa?


Ndio,...
... na kwa bahati mbaya kuna yaongewayo hapa DUNIANI ni MISEMO tu,...
... kwa kuwa kwa hali halisi kivitendo kufanya matusi na NGONO labda ni kitu kilekile!:-(





Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala usikonde!:-(

Hebu Angie Stone abadili kidogo kwa jipu- Pissed Off



Kholeka ahamishe kidogo kwa kikristo kwa - Ntonga Yami


Yoro Ndiaye airudishe kidogo maeneo kwa- Arwatam



Au tu tena Snoop Dogg na Nate Dogg waharibu tu kwa - Boss' Life


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mwanasosholojia 1:52 pm  

Duh!:-)

emu-three 2:07 pm  

Lakini najiuliza hivii kweli nyoka akijivua gamba anabadilika kuwa sio nyoka..?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 9:12 am  

ukivuliwa chupi wabakwa, ukijivua wataka mwenyewe then utaivaa tu weye mwenyewe

Simon Kitururu 7:40 pm  

@Mats: Mmmh!

@M3:Ukweli ni kwamba nyoka akijivua gamba ni dalili kuwa anazidi kukua / Anakuwa mkubwa zaidi ya alivyokuwa zamani!:-(

@Komandoo Kamala:Mmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP