Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Udhaifu wa KIPENDA ROHO kula mbatata MBICHI!

>> Sunday, July 24, 2011

Na kipenda roho humla MBICHI,....

.....kwa kuwa labda VILIVYOIVA vinamaishu yake na moja yake yasemekana ni ile ya UMACHINO/fulu kila kitu aliyeiva ajifanya AJUA!:-(



Swali:
  • Kwani unafikiri kila KILICHOIVA maanayake ndio KITAMU?
  • Na si unajua wapenda KACHUMBARI moja ya sababu kachumbari kwao ni tamu labda ni kwasababu wala HAIJAPIKWA na haitegemewi IIVE?

Ndio,....
..... tukiachana na ukweli moja ya utamu wa KACHUMBARI ni kuwa ilikuwa na NYANYA zilizo iva,...
..... bado tujuacho bila kuongezea manjonjo ni kuwa,...
....KIPENDA ROHO hula nyama MBICHI aisee!:-(



Ni wazo tu hili la jumapili MHESHIMIWA!
JUMAPILI NJEMA!:-(





Na hebu Isaac Hayes arudie kitu-Fragile


Au tu STING naye aje na ndude hiyohiyo -Fragile




Sting adinye-Shape of my Heart



Au tu Maxi Priest ahamishe ndude na kumalizia kibaba kisebengo  kwa - Just A Little Bit Longer


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP