Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa ASALI ni tamu kama SUKARI!

>> Monday, July 04, 2011

Na inawezekana mpaka hata MCHICHA,....
.... labda pia ni MTAMU kama SUKARI,...
.... kwa kuwa labda kuna ASTUKIAYE utamu wa MCHICHA ni tofauti kwa kuwa tu alisha wahi kuonja UTAMU wa SUKARI.

Swali:
  • Si unajua UTAMU wa MKE WA MTU anogaye labda ni matunda ya kijulikanacho na MTU kwa kuwa huyo mtu anakumbuka utamu wa girlfriend wake aliyemuacha?



Ndio,...
.... labda kuna UHUSIANO,....
... na labda shukuru mpaka upendavyo HARUFU NZURI inukiavyo vizuri ile harufu MBAYA uijuayo!:-(


Ni wazo tu hili KAMANDA!:-(




Hebu The Mthembu Queens waingilie kati kwa -Emjindini




BRENDA FASSIE arudie-Mali



Miriam MAKEBA arudie-The CLICK Song



Au tu hebu Miriam Makeba arudie pia - Khawuleza


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP