Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika JICHO na SIKIO la mtu MWINGINE,...

>> Saturday, July 23, 2011

 ...... ujionavyo na UJISIKIAVYO,....
........vyaweza kuwa ni vitu tofauti kabisa na umuonaye akikuangalia au ujuaye anakusikia AFIKIRIAVYO!:-(

Swali:
  • SI unajua si lazima unajua kwa uhakika akuangaliaye au akufikiriaye ANAWAZA nini?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(





Hebu Recho aongelee - Kizunguzungu



L40  asimulie ya - Penzi La Sandakarawe



Kabla  tu OFFSIDE TRICK hawajarudia ya -Kidudu MTU

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP