Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NI kweli MELI huelea wakati Shilingi huzama....LAKINI!

>> Thursday, July 14, 2011

Lakini  ikumbukwe tu kuwa,....
...... siku MELI ikizama,....
.......shilingi inauahueni katika kwake KUZAMA!:-(

Swali:
  • Lakini si unakumbuka kuwa kama katika TATUZI wakati huo uhitajicho  ni  SHILINGI TU -labda wakati huo SHILINGI inathamani kuliko MELI?
  • Kwani si thamani ya shilingi si waweza kuistukia kama mepungukiwa tu na shiligni ili kufanikisha kitu?


Kwa hiyo,...
.... labda wakati MELI itegemewayokuelea na ILE shilingi vikizama,...
.......... kuna awezaye kulilia zaidi SHILINGI  kuliko MELI !:-(


Ni wazo tu hili MKUU!


Hebu Neville Brown aingilie kwa - Haul And Pull Up



UB40 wa DUB IT  katika nyimbo - Present arms in dub na One in ten




Kabla tu  tu Youssou N' Dour na Lauryn Hill wabadili tu kwa-Summer Madness


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP