Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo katika KISWANGLISH: MAISHANI kuna kitu ``The MOST successful FAILURE!´´

>> Friday, July 01, 2011

Ndio,...
...you know aiseee bwana ndugu,...

....kuna kushindwa ambako ni SUCCESSFUL aisee,...
....hasa kama kwa KUSHINDWA,...
.... aliyefeili kapata JIBU la siri ya secret ya USHINDI ni nini aisee.

Swali:
  • Unabisha?

Ndio,...
... kuna washindwao lakini kwa KUSHINDWA swala moja,...
.... wana majibu ya mambo kumi yaliyokuwa yanawasumbua KICHWA!

Ni wazo tu hili MKUU!:-(

Hebu twende tena GABON ili Nicole Amogho aimbe tena - Singa Soyi



Cele adai- Mikoukou Are Ghe Mbongo



Na Amandine amalizie kwa - Bissi Le Ba Leya


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP