Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna wavumiliao kunya akinya JOGOO , ingawa kinyesi kilekile akinya KUKU kwao ni NUKSI!

>> Monday, July 11, 2011



Ndio ,...
... uvumilivu katika swala LILELILE moja,...
.... kuna ambao KIUVUMILIVU wavumiliwao zaidi ya WENGINE!:-(

Swali:
  • SI unakumbuka kuna yavumiliwayo yakifanywa na MVULANA kuliko yakifanywa na MSICHANA?

Na kwa bahati mbaya,...
.... kwa kuwa BINADAMU huwa wanamchezo wa kujipendelea,...
.... kuna ya KIBINADAMU yaleyele ambayo ni sahihi tu kwa baadhi ya watu WAKIYAFANYA WAO  au  wakiyasema WAO hata kama ni KIMAONI ,...
..... na wengine wakiyaongelea hayohayo kihivyohivyo huonekana WANAKOSEA!:-(

Swali:
  • SI unajua kwa wengine kunya anye kuku, akinya bata ni balaa?


NI wazo tu hili MKUU!


Hebu Lord Kitchener adai - Take You Meat Out Me Rice




Lord Kitchener arudie -Gimme Di Ting



Preacher aingilie kati kwa-Nine inch banana




Lord Kitchener arudi tena kwa - Sugar Bum Bum




Kabla hajamalizia tena kwa-Kaka Roach


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP