Kwa kuwa AKOROMAYE hajisikii akikoroma!
>> Saturday, July 16, 2011
Na,...
..... labda mengi tufanyayo ni kama KUKOROMA,...
.... kwetu hayatuathiri na ni bughudha TU kwa wengine!:-(
Swali:
- Unakumbuka kuwafikiria wengine katika yako yasiyokubughudhi kiuwezekano labda kimtekenyo ni MAUMIVU kwao?
NI wazo tu hili MKUU!
Jumamosi na WIKIENDI NJEMA MKUU!
Hebu Da Brat a- Funkdafied
Au tu Da Brat na T-Boz warudie - Ghetto Love
Kabla R Kelly hajadai-Your Body's Callin'
Kabla R. Kelly hajawa siriasi kidogo kwa - When A Woman's Fed Up
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
NJE YA MADA
Kwa kawaida, kuna aina mbili za mawazo ambazo kila binadam huwa anazo na aina mbili hizi hufanya kaz kwa kupokezana. Aina ya kwanza huitwa: Mawazo ya kawaida (consicious mind) wakat aina ya pili huitwa; "Unconsious mind".
Mtu anapokuwa macho, kwa mfano mchana, huwa mawazo ya kawaida (conscious mind) ndio yanayotumika. Unapolala au kupoteza faham unconscious mind hufanya kazi.
Ni sahihi kusema, kama yalivyo mapgo ya moyo, mawazo yetu hayajawahi kuacha kufanya kaz tangu tulipozaliwa mpaka leo.
Hapo ingekuwa Jenereta vipi...
MUNGU NI NOMA!!!
Mkuu nami nawaza nakujiuliza hivi kukoroma ni ugonjwa! Na abughuziwaye na mkoromo hana usingizi!jwa! Na abughuziwaye na mkoromo hana usingizi!
@Rasta Mcharia: Mungu ni MKuu aisee!
@M3:Mmmmh!
Post a Comment